Mfanyabiashara mbunifu na mkufunzi wa biashara ndogondogo, mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 6 katika biashara ya viatu vya mtumba nchini Tanzania. Baraka amewasaidia vijana na wajasiriamali chipukizi kuanzisha na kukuza biashara zao kupitia mbinu rahisi lakini zenye matokeo makubwa. Anajulikana kwa jina la Baraka Maviatu kutokana na mafanikio yake katika sekta hii, na sasa kupitia kozi hii, anakupa mbinu sahihi, maarifa ya mtaani na mikakati ya kuongeza faida kwenye biashara ya viatu vya mtumba.
Member since June 2025