Ujasiriamali
Kiganjani Mwako
Jifunze kozi za vitendo kwa Kiswahili zinazofundishwa na wafanyabiashara halisi, pamoja na nyenzo na huduma za kidigitali kwa biashara za Tanzania.
Kutoka Wazo Hadi Mauzo
Kozi za Vitendo
Jifunze moja kwa moja kutoka kwa wafanyabiashara halisi kupitia video fupi na mazoezi ya haraka. Utapata mifano ya Tanzania, na msaada wa mkufunzi wenye majibu ya papo hapo.
Nyenzo za Biashara
Nyenzo zinazoharakisha kazi, kufungua uwazi, na kusaidia maamuzi ya papo hapo—zimebuniwa kwa biashara za Tanzania. Salama. Rahisi.
Huduma za Kidigitali
Pata huduma bora za kidijitali—kuanzia utengenezaji wa chapa hadi tovuti—kutoka kwa wabobezi waliothibitishwa, ukiwa na uhakika wa usalama wa malipo yako wakati wote wa utoaji huduma.
Fursa
Pata taarifa muhimu kwa wakati kuhusu fursa zinazokua na kukutana na watu sahihi: mitandao ya wajasiriamali, kliniki na warsha za bure, nafasi za ushirikiano, na masoko mapya.
Mambo Tunayorahisisha
Malipo Rahisi kwa Simu
Lipa kwa urahisi kupitia M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money au benki—malipo ni salama, unapata stakabadhi papo hapo, na unaweza kufuatilia historia yako yote ndani ya App. Hakuna usumbufu; kila hatua ni wazi na ya haraka.
Jifunze kwa Mpangilio
Kozi zetu zimepangwa kwa urahisi: vipindi vifupi, malengo wazi, na mazoezi ya hatua kwa hatua. Unachojifunza leo, unaweza kukitumia mara moja kwenye biashara yako — njia rahisi, inayolenga matokeo.
Ulezi wa Kitaalamu
Wakufunzi wetu ni mentors wa kweli: wanatoa mrejesho wenye maana, vidokezo vya uendeshaji, na mwongozo hata baada ya kozi. Unabaki na mtu wa kukuongoza unapotekeleza ili usikwame katikati ya safari.
Kozi za Vitendo
Jifunze moja kwa moja kutoka kwa wafanyabiashara halisi kupitia video fupi na mazoezi ya haraka. Utapata mifano ya Tanzania, na msaada wa mkufunzi wenye majibu ya papo hapo.
Nyenzo za Biashara
Nyenzo zinazoharakisha kazi, kufungua uwazi, na kusaidia maamuzi ya papo hapo—zimebuniwa kwa biashara za Tanzania. Salama. Rahisi.
Huduma za Kidigitali
Pata huduma bora za kidijitali—kuanzia utengenezaji wa chapa hadi tovuti—kutoka kwa wabobezi waliothibitishwa, ukiwa na uhakika wa usalama wa malipo yako wakati wote wa utoaji huduma.
Fursa
Pata taarifa muhimu kwa wakati kuhusu fursa zinazokua na kukutana na watu sahihi: mitandao ya wajasiriamali, kliniki na warsha za bure, nafasi za ushirikiano, na masoko mapya.
Jifunze Leo

Utaalamu Wetu
Utaalamu Wetu
Mafanikio Yako
Wataalamu Wetu
Jifunze kozi za vitendo kwa Kiswahili zinazofundishwa na wafanyabiashara halisi, pamoja na nyenzo na huduma za kidigitali kwa biashara za Tanzania.

Maswali Ya Mara Kwa Mara
Kozi zetu zinafundishwa na wataalamu waliobobea ambao pia ni wajasiriamali wenye uzoefu halisi. Wanajua changamoto zako na wanajua namna ya kukusaidia.
Hapana! Kozi zetu zimeandaliwa kwa lugha rahisi na kwa vitendo, kwa ajili ya mtu yeyote anayetaka kuanza au kuboresha biashara yake.
Kozi nyingi ziko bure au kwa bei nafuu sana. Tunajali maendeleo yako, sio faida pekee.
Unaweza kujifunza kupitia simu au kompyuta kwa kutumia video, mazoezi, na msaada wa moja kwa moja kutoka kwa wakufunzi wetu.
Ndiyo, utapewa cheti cha kukamilisha kozi ambacho unaweza kutumia kwenye CV yako au kuonyesha umahiri wako
Tunayo timu ya msaada. Unaweza kuwasiliana nasi kupitia +255 750 284 771 (WhatsApp) au msaada@kreativekarakana.co.tz, na tutakusaidia haraka iwezekanavyo.
Matokeo Ya Huduma Zetu
Tunavyobadilisha Ujasirimali na Biashara
Ubunifu kwa vitendo

Karakana kutoka Kreative Karakana ni app yako kamili ya ubunifu. Pata zana, kozi, na rasilimali za kukuza ujuzi wako, kuibua ubunifu, na kutimiza mawazo yako, iwe wewe ni mwanafunzi au mtaalamu.
Viunganishi vya haraka
Wasiliana nasi
Dar es salaam – Tanzania
Kigamboni,
Sido (Mwemberadu)
- Barua pepe: info@kreativekarakana.co.tz
- Simu: +255 769 278 204
- Hours: Mon-Fri 9:00AM - 5:00PM
© 2025 All Rights Reserved.