Kreative Karakana

Waalimu Wetu

Tunajivunia kuwa na waalimu waliobobea kutoka sekta mbalimbali za ujasiriamali. Walimu hawa si tu waalimu bali ni wabobevu na wajasiriamali pia.