Dhamira yetu ni:
Kujenga Kesho ya Biashara za Kiafrika
Jukwaa kamili la kuimarisha biashara za Kiafrika kupitia suluhisho bunifu kwa changamoto halisi za biashara, likiwawezesha wajasiriamali wa Kiafrika kukuza biashara zao kwa kutumia mafunzo, teknolojia, nyenzo na huduma zenye matokeo ya kweli.
Tangu mwaka 2021, tumeendelea kuwa kiungo muhimu kati ya wajasiriamali na suluhisho la changamoto za biashara, tukitoa mafunzo ya vitendo, huduma za kidigitali, nyenzo muhimu, na msukumo wa kijamii unaojenga biashara thabiti na endelevu.
Kozi Zetu
Kozi Fupi zenye Matokeo Halisi
Jifunze. Kua. Uipatie biashara yako uhai kidigitali.
- Kozi Fupi za Kitaalamu
- Kozi za Sekta Maalum
- Kozi za Ujuzi Mnyumbufu
- Kozi za Ajira na Kujiajiri
- Mafunzo ya Kidigitali kwa Biashara
- Mafunzo yanayoambatana na Ushauri
[contact-form-7 id=”403″ title=”Contact form”]
Maono Yetu
Kuona kizazi kipya cha wajasiriamali wa Kiafrika wanaotumia elimu, teknolojia, na ubunifu katika kukuza biashara zenye athari chanya kwenye jamii na uchumi wa bara letu.
Dhamira Yetu
Kuwa jukwaa linalotoa suluhisho bunifu, la vitendo, na la gharama nafuu kwa changamoto halisi za biashara ndogondogo barani Afrika.
Timu Yetu
Lameck Lawrence
C0-Founder & Ceo
Athman Sungura
C0-Founder & Business Lead
Fatma Khalid
Community & Learning Lead
Wanse Mbanga
Production & Content Lead
Jehoshaphat Obol
Tech & Development Lead
