Kreative Karakana

  1. Piga Namba: Dial *150*00# kwenye simu yako.
  2. Chagua Huduma: Chagua “4” kwa ajili ya Lipa kwa M-Pesa.
  3. Chagua Lipa Kwa Simu: Chagua “1” kwa Lipa Kwa Simu.
  4. Ingiza Lipa Namba: 5741156
  5. Ingiza Kiasi: Andika kiasi cha pesa unachotaka kulipa.
  6. Ingiza Namba ya Siri: Weka namba yako ya siri ya M-Pesa ili kuthibitisha malipo.
  7. Thibitisha Jina la Biashara: Kreative Karakana Limited