Skip to content
Piga Namba
: Dial *
150*
00# kwenye simu yako.
Chagua Huduma
: Chagua “4” kwa ajili ya Lipa kwa M-Pesa.
Chagua Lipa Kwa Simu
: Chagua “1” kwa Lipa Kwa Simu.
Ingiza Lipa Namba
: 5741156
Ingiza Kiasi
: Andika kiasi cha pesa unachotaka kulipa.
Ingiza Namba ya Siri
: Weka namba yako ya siri ya M-Pesa ili kuthibitisha malipo.
Thibitisha Jina la Biashara
: Kreative Karakana Limited