Kuwawezesha Wanafunzi Tangu Siku ya Kwanza

Kuwawezesha Wanafunzi Tangu Siku ya Kwanza “Kreative Karakana katika Wiki ya Utangulizi (Orientation Week) – Chuo Cha Ustawi wa Jamii” Wiki ya Utangulizi (Orientation Week) ni hatua muhimu sana katika safari ya mwanafunzi chuoni. Ndiyo mwanzo wa kuelewa mazingira ya chuo, fursa zilizopo, mitandao ya kujenga, na mwelekeo wa maisha ya kitaaluma na binafsi. Katika […]
