Ujasiriamali sio bahati, ni maarifa!

Ujasiriamali Sio Bahati Ni Maarifa! “Biashara yako haitahitaji muujiza kufanikiwa inahitaji kuelewa, kupanga na kutekeleza.” Katika kila kona ya Tanzania, kuna mtu anayehangaika kuhakikisha maisha yanakwenda mbele kupitia biashara. Wengine wanauza sokoni, wengine wanaendesha biashara mitandaoni, wengine wana saluni au duka jirani. Kitu kimoja wanachoshiriki wote ni ndoto ya kupata mafanikio. Lakini wajasiriamali wengi wanajikuta […]
Biashara Kichaa

Biashara Bila Mpango ni Biashara Kichaa “Unajituma sana, lakini bila maarifa na mwelekeo, utachoka bure.” Kama wewe ni mjasiriamali unayeamka kila siku mapema kwenda sokoni, kuendesha saluni, kuuza mtandaoni, au hata kufanya kazi ya mikono tunakupongeza. Lakini pia tunakuuliza swali moja muhimu:Biashara yako unaifanya kwa mpango au kwa kubahatisha? Wajasiriamali wengi Tanzania wanafanya biashara […]
Wajasiriamali Smart Clinic (Sehemu Ya Kwanza)

Wajasiriamali Smart Clinic Sehemu ya Kwanza “Mtazamo Mpya wa Kusaidia Biashara Kukua Kwa Maarifa, Ushauri na Zana Halisi” Wajasiriamali Smart Clinic ni nini? Wajasiriamali Smart Clinic ni jukwaa la kipekee lililoanzishwa na Kreative Karakana kwa ajili ya kuwasaidia wajasiriamali wa Kitanzania kukabiliana na changamoto halisi zinazowakabili katika kuanzisha, kuendesha, na kukuza biashara zao. Clinic hii […]
