Jukwaa kamili la kuimarisha biashara za Kiafrika kupitia suluhisho bunifu kwa changamoto halisi za biashara, likiwawezesha wajasiriamali wa Kiafrika kukuza biashara zao kwa kutumia mafunzo, teknolojia, nyenzo na huduma zenye matokeo ya kweli.

Mbali na mafunzo, tunatoa huduma bunifu zinazolenga kusaidia wajasiriamali wa Kiafrika kukua kidigitali, kuboresha uendeshaji wa biashara zao, na kupata msaada wa kijamii na kitaalamu unaowezesha mafanikio ya kweli.

Kila siku ni fursa mpya ya kujifunza! Hizi hapa ni kozi tulizoandaa kwa ajili yakomjasiriamali unayejituma kutafuta maarifa ya kukua, kuboresha huduma zako, na kufanikisha ndoto zako
Kozi zetu zinalenga biashara ambazo Watanzania wengi wanafanya kama kuchoma maandazi, kuuza mitumba, kilimo cha nyumbani, na zaidi. Hakuna blabla, ni vitu vya kazi moja kwa moja.
Hutafundishwa na wataalamu wa vitabuni bali watu waliowahi kuanza bila mtaji, wakapambana hadi kufanikisha biashara zao. Hawa ndio walimu wetu wanajua changamoto zako.
Mbali na mafunzo, tunakuunganisha na huduma muhimu kama branding, usajili wa biashara, na teknolojia za kukuwezesha kidigitali vyote kutoka kwa wataalamu wa ndani ya nchi.
Kozi zetu zinafundishwa na wataalamu waliobobea ambao pia ni wajasiriamali wenye uzoefu halisi. Wanajua changamoto zako na wanajua namna ya kukusaidia.
Hapana! Kozi zetu zimeandaliwa kwa lugha rahisi na kwa vitendo, kwa ajili ya mtu yeyote anayetaka kuanza au kuboresha biashara yake.
Kozi nyingi ziko bure au kwa bei nafuu sana. Tunajali maendeleo yako, sio faida pekee.
Unaweza kujifunza kupitia simu au kompyuta kwa kutumia video, mazoezi, na msaada wa moja kwa moja kutoka kwa wakufunzi wetu.
Ndiyo, utapewa cheti cha kukamilisha kozi ambacho unaweza kutumia kwenye CV yako au kuonyesha umahiri wako
Tunayo timu ya msaada. Unaweza kuwasiliana nasi kupitia +255 750 284 771 (WhatsApp) au msaada@kreativekarakana.co.tz, na tutakusaidia haraka iwezekanavyo.
Drag file here or click the button.