Kreative Karakana

NUNUA KWA LIPA NAMBA

Tunarahisisha Mambo!

Sasa unaweza kulipia kozi zako kwa urahisi zaidi kupitia Lipa Namba. Hatuna tena mlolongo mrefu wa malipo  tumekuwekea njia moja rahisi, ya moja kwa moja.


Hatua ni hizi tatu tu:

  1. Lipa kiasi cha kozi kupitia Lipa Namba yetu (Voda Lipa Namba 5741156)

  2. Chukua picha ya risiti ya malipo

  3. Tuma risiti hiyo kupitia WhatsApp kwa namba yetu

 

Please, log in