Kreative Karakana

Dhamira yetu ni:

Kujenga Kesho ya Biashara za Kiafrika

Jukwaa kamili la kuimarisha biashara za Kiafrika kupitia suluhisho bunifu kwa changamoto halisi za biashara, likiwawezesha wajasiriamali wa Kiafrika kukuza biashara zao kwa kutumia mafunzo, teknolojia, nyenzo na huduma zenye matokeo ya kweli.

Tangu mwaka 2021, tumeendelea kuwa kiungo muhimu kati ya wajasiriamali na suluhisho la changamoto za biashara, tukitoa mafunzo ya vitendo, huduma za kidigitali, nyenzo muhimu, na msukumo wa kijamii unaojenga biashara thabiti na endelevu.

Kozi Zetu

Maono Yetu

Kuona kizazi kipya cha wajasiriamali wa Kiafrika wanaotumia elimu, teknolojia, na ubunifu katika kukuza biashara zenye athari chanya kwenye jamii na uchumi wa bara letu.

Dhamira Yetu

Kuwa jukwaa linalotoa suluhisho bunifu, la vitendo, na la gharama nafuu kwa changamoto halisi za biashara ndogondogo barani Afrika.

Timu Yetu

Lameck Lawrence

C0-Founder & Ceo

Athman Sungura

C0-Founder & Business Lead

Fatma Khalid

Community & Learning Lead

Wanse Mbanga

Production & Content Lead

Jehoshaphat Obol

Tech & Development Lead